Wednesday, 19 April 2017

Jinsi tango linavyoweza kutoa ahueni kwa wenye vidonda vya tumbo


Tango ni mojawapo ya tunda ambalo watu wengi huwa hawalihesabu sana kama ni miongoni mwa matunda labda kutokana na kutokuwa na ladha sana.

Lakini pamoja na hayo tunda hili linasifika zaidi kwa kuwa na uwezo katika tiba ya matatizo mbalimbali ya kiafya ikiwa ni pamoja na tatizo la vidonda vya tumbo.

Aidha, pamoja na kuwa na uwezo huo pia tunda hili limekuwa likipata sifa sana kwa kuimarisha afya ya ngozi pale ambapo mhusika atatumia kusugulia usoni.

Hata hivyo, tunda hili linapotengenezwa juisi huwa ni msaada mzuri sana kwani huusaidia mwili kuweza kufanya kazi yake vizuri.

Pamoja na hayo, inashauri kujenga utamaduni wa kula tunda hili mara kwa mara hata kama halina ladha ya utamu au sukari kwani tunda hili pia huwasaidia wale wenye matatizo ya viungo kuuma 'rheumatism' na kuondoa 'uric acid mwilini'

Unaweza kuwasiliana na Mtaalam Abdallaha Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com kwa maelezo zaidi

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment