Friday, 28 April 2017

Majani ya karoti husaidia kuondoa kinyama sehemu ya haja kubwa 'bawasiri'


Bawasiri au 'hemorrhoid' ni ugonjwa katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje. Kwa kingereza ugonjwa huu hujuliakana kama hemorrhoids.

Hakuna sababu za moja kwa moja inayojulikana kisayansi kwamba ndiyo husababisha ugonjwa huu.

Sasa leo naomba kukwambia mbinu hii inayoweza kutatua tatizo hilo.

Unachotaiwa kufanya ni kupata majani ya karoti kisha yaoshe vizuri halafu tumia majani hayo kuyachemsha kisha mgonjwa anywe kiasi cha kikombe kimoja asbuhi na jioni hadi pale tatizo litakapoisha.

Kwa maelezo zaidi kuhusu mada hii na nyingine nyingi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment