Thursday, 6 April 2017

Mambo 4 ambayo mwili wako utapata kwa kula mbogamboga & matunda tu


Siku zote tumekuwa tukihimiza jamii kutumia vyakula bora ikiwa ni pamoja na matunda na mbogamboga, lakini leo naomba tuelezane kuhusu faida za mbogamboga na matunda ndani ya mwili.

Ni vyema ukaanza kujitahidi kula matunda na mbogamboga kila siku kwani vyakula hivyo vina aina tofauti za vitamini na madini ambayo husaidia kuukinga mwili dhidi ya matatizo mbalimbali.

Miongoni mwa faida za mbogamboga hizo na matunda ndani ya mwili ni pamoja na hizi zifuatazo:-

1. Hukinga viungo ndani ya miili yetu.

2. Hulinda afya ya macho, ngozi, meno na nywele.

3. Huwezesha mfumo wa usindikaji an ufyonzaji chakula mwilini pamoja na kufanya kazi vizuri na kutusaidia kupata choo bila matatizo.

4. Hutukinga dhidi ya maambukizi na magonjwa.

Tunaweza kukushauri kuhusu matumizi ya lishe bora pia na vitu vya asili tupigie sasa kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment