Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 1 April 2017

Mambo 5 unayopaswa kuyafahamu kuhusu mafuta ya mzaituni weekend hii

Mafuta ya mzaituni yanafaida nyingi kwa afya ya mwanadamu leo ninazo baadhi ya faida za mafuta hayo kama ifuatavyo:-

1. Husaidia kulainisha ngozi.

2. Huweza kutumiwa na wanawake ambao hupendelea kutumia 'make up' kama namna ya kuondoa 'make up' hiyo.

3. Huimarisha afya ya nywele

4. Mafuta haya hufanya vyema yanapotumika kusafishia kucha

5. Husaidia kuimarisha afya ya mifupa.

Kwa maelezo zaidi au ushauri kuhusu matumizi ya mafuta haya ya mzaituni usisite kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment