Friday, 14 April 2017

Mambo 5 ya kufanya kuepuka harufu ya miguu wakati huu wa msimu wa mvua


Mara nyingi msimu kama huu wa mvua ndio huwa wakati ambao watu wengi hasa wanaume hujikuta wakiingia kwenye tatizo la miguu kutoa harufu kutokana na maji kutapakaa kila mahari.

Hivyo hali hiyo imekuwa ikichangia wanaume wengi wenye tatizo hilo kutokuwa na amani pale wanapovua viatu vyao hususani kwa watu yaani ugenini.

Sasa leo nakusogezea hizi njia kadhaa ambazo zinaweza kusaidia kumaliza tatizo hilo:-

1. Nawa miguu yako kila unapovua viatu vyako.

2. Vaa soksi zenye asili ya kitambaa cha pamba

3. Badilisha soksi zako kila siku

4. Vaa viatu vya wazi ikibidi ili kuruhusu miguu yako kupata hewa.

5. Hakikisha viatu vyako ni vikavu muda wote

Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment