Friday, 21 April 2017

Mambo 7 ambayo huyafanya watu wenye afya bora kila siku

1. Wanapata muda wa kutosha wa kupumzika. (Kulala)

2. Wanapangilia mlo wao wa kula (chakula bora)

3. Wanaepuka msongo wa mawazo na kujua namna sahihi ya kukabiliana nayo pale yanapotokea

4. Hawaachi kufanya mazoezi kwa ajili ya kujali afya zao.

5. Wanapata muda wa kubadilisha mawazo na watu wengine 'out'

6. Hawaachi kula matunda na maji ya kutosha kadri wawezavyo.

7. Huchunguza afya zao mara kadhaa hata kabla ya dalili zozote kutokea

Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/0784 300 300/ 0769 400 800 au barua dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment