Saturday, 29 April 2017

Mambo matatu ambayo unaweza kuyapata kwa kunywa chai tu!

Je, ni mara ngapi umekuwa ukiondoka kwako asubuhi bila kunywa chai? naamini inaweza kuwa ni mara kadhaa lakini wengine ikawa ndio desturi yao kabisa kutokunywa chai asubuhi wanapotoka nyumbani kuelekea kwenye mishughuliko au masomo yao.

Sasa leo ninazo hizi faidia kadhaa za kunywa chai wakati wa asubuhi kabla hujatoka kwako.

1. Husaidia kuongeza uwezo wako wa kufikiriwa chai zaidi ya vile ambavyo utatoka bila kunywa chai asubuhi. Hivyo kama wewe ni mwanafunzi au mfanyakazi ni vyema kuzingatia unywaji wa chai kabla ya kuanza shughuli zako za siku husika.

2. Unapokunywa chai unajipunguzia hatari ya kuzongwa na magonjwa mbalimbali hususani yale ambayo si ya kuambukiza.

3.Pia unapokunywa chai asubuhi husaidia kuboresha mahusiano mazuri kati yako na familia yako. Kwa sababu unapoamka na kukaa meza moja na watoto au mke au ndugu na kunywa chai huwezesha wanafamilia kujuzana machache kuhusu siku hiyo kabla ya upilika 'ubuys' wa siku hiyo kuanza.

Kwa ushauri zaidi tupigi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku


No comments:

Post a Comment