Saturday, 29 April 2017

Matatizo 3 ambayo yanaweza kumalizwa kwa mizizi ya mlongeSiku zote tutaendelea kukwambia kuhusu mimea mbalimbali ukiwemo huu wa mlonge ambao ni mti wenye historia ndefu katika masuala ya kimatibabu.

Leo nataka kukwambia hizi faida za kutumia mizizi mlonge ambayo huweza kukusaidia katika maradhi mbalimbali.

Moja ya faida za mizizi ya mti huu ni pamoja na kuamsha uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kwa wanaume endapo mhusika atapata kikombe kimoja cha maji yaliyochemshwa kwa mzizi huo kila siku angalau kwa wiki mbili mfululizo.


Aidhaa, mizizi ya mlonge inapokaushwa na kupondwa na kisha kuwekwa chumvi na kubandikwa kwenye uvimbe wowote wa viungo husaidia kupunguza tatizo hilo.

Pamoja na hayo, mizizi ya mlonge huwasaidia watu wenye maradhi ya koo kwa kuchemsha mizizi ya mlonge na kutumia maji yake kusukutua.

Kwa wewe ambaye utapenda kupata ufafanuzi zaidi kuhusu matumizi ya mizizi hii naomba wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment