Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 8 April 2017

Matatizo 6 ambayo huweza kudhibitiwa na limao

Limao ni moja ya tunda ambalo linafahamika sana, ni tunda ambalo mara nyingi hutumika zaidi jikoni kwa ajili ya kukata shombo fulani fulani ya baadhi ya mboga mfano samaki.

Kwa kawaida limao huwa na ladha ya uchachu, lakini pamoja na kuwa na ladha hiyo tunda hili limekuwa na faida pia za kiafya.

Yafuatayo ni miongoni mwa matatizo 6 ambayo huweza kudhibitiwa na limao:-

1. Husaidia kuimarisha mfumo wa umeng'enyaji wa chakula

2. Husaidia kupunguza sumu mwilini

3. Hutumika kama njia ya kupunguza uzito

4. Husaidia kupunguza hatari ya mawe kwenye figo

5. Husaidia kuimarisha afya ya ngozi

6. Hupunguza maumivu ya viungo vya mwili hasa joint

Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment