Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Monday, 10 April 2017

Mbinu 4 za kuepuka kupata homa ya ini kupitia kujamiana

sex
Wataalam wa afya wanaeleza kuwa moja ya sababu ambazo huweza kuchangia kuenea kwa ugonjwa wa homa ya ini ni pamoja na kujamiana (ngono)

Sasa leo naomba nikueleza namna kadhaa za kujikinga na ugonjwa wa homaya ini kupitia kujamiana.

1. Epuka mapenzi ya mdomo 
Kuna baadhi ya watu ambao hushiriki mapenzi kwa njia ya mdomo hawa huwa katika hatari kubwa ya kukumbwa na  magonjwa ya homa ya ini.

2. Hakikisha unamchunguza mwenzi wako kabla ya kuanzisha mahusiano mapya.

3. Epuka mabusu ya hapa na pale kwa mwenzi usiyemuamini au usiyefahamu undani wa afya yake.

4. Tumia kinga kila unaposhiriki tendo la ndoa kwa mtu usiyemjua undani wa afya yake vyema

Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment