Saturday, 15 April 2017

Mengine manne yakuyajua kuhusu majani ya mpapaiPAPAI ni tunda ambalo mmea wake hukua hadi kufikia urefu wa mita 30, lakini pia mmea huu unasifika kwa kuwa na uwezo wa kusaidia matatizo mbalimbali kiafya.

Asili ya mpapai ni huko nchini Mexico ingawaje kwa sasa limekuwa ni tunda ambalo hupatikana maeneo mengi duniani.

Uzuri wa mpapai ni kwamba karibu kila sehemu inafaida zake kiafya yaani kuanzia tunda lenyewe, mbegu, majani pamoja na mizizi.

Jumamosi ya leo ya kuelekea pasaka nimeona ni vyema tukazungumzia kuhusu umuhimu wa majani ya mpapai kiafya.

1. Majani ya mpapai kwanza yamesheheni vitamin B, A, C, D, E pamoja na madini ya ‘calcium’.

2. Huongeza uimara wa kinga za mwili

3. Matumizi ya juisi ya majani ya mpapai husaidi kuzuia maambukizi mbalimbali ndani ya mwili

4. Matumizi ya majani ya mpapai pia husaidia kuzuia homa za mara kwa mara


Zingatia
Ni muhimu kupata ushauri wa wataalam wa tiba asili kabla ya kutumia majani haya kama tiba hivyo unaweza kuuliza zaidi kupitia namba zetu za simu zifuatazo: +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment