Monday, 24 April 2017

Njia 2 za asili za kumaliza tatizo hili la madoa meupe kwenye ngozi yako


Kuna aina fulani ya mabaka hutokea kwenye ngozi hasa eneo la shingoni mgongoni na wakati mwingine hata usoni. Kwa lugha ya kingereza tatizo hilo hufahamika kama 'white patches on skin'

Mara nyingi mabaka haya huharibu kabisa muonekano wa ngozi na kumfanya mhusika kuonekana vibaya.

Sasa leo nimeona nikupatie hizi mbinu mbili za asili za kumaliza hali hiyo kwenye ngozi yako:-

1. Mafuta ya nazi
Unaweza kutumia mafuta hayo kumaliza tatizo hilo unachopaswa kufanya ni kupaka mafuta haya sehemu zote za ngozi zilizoathirika. Jitahidi ufanye zoezi hilo mara tatu hadi nne kwa siku na unaweza kufanya hivyo hadi pale utakapoona tatizo limeisha.

2. Tangawizi
Saga tangawizi yako kisha tumia tangawizi hiyo iliyosagwa kupaka au kusugua sehemu ya ngozi yenye tatizo. Baada ya kupaka kaa nayo kwa muda kabla ya kutoa na ikibidi paka usiku ili ulale nayo usiku kucha ili kupata matokeo mazuri zaidi.

Kama utahitaji maelezo zaidi kuhusu mada hii naomba wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment