Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 15 April 2017

Njia hizi 5 za asili zitakusaidia kumaliza tatizo la damu kuvilia


Mafuta ya kitunguu swaumu
Je, umewahi kupatwa na tatizo la damu kuvilia? Inawezekana umewahi kupatwa na tatizo hilo labda baada ya kujigonga na kitu na baadaye damu kuvilia.

Sasa naomba kukwambia hizi mbinu kadhaa ambazo huweza kusaidia kumaliza tatizo la damu

1. Tumia barafu
Unachopaswa kufanya ni kuweka kipande cha barafu sehemu damu ilipovilia, lakini njia hii hufaa zaidi endapo tatizo hili limetokea kwenye mguu.

2. Tango
Tunda hili nalo huweza kusaidia kupunguza madhara ya tatizo hilo ambacho unaweza kufanya ni kuandaa juisi ya tunda hilo kisha kunywa mara mbili kwa siku hadi pale utakapoona tatizo linapungua au kuisha

3. Alovera
Kuhusu alovera nayo utapaswa kuitumia kwa kuweka sehemu iliyoathirika kishasugua taratibu fanya hivyo hadi pale utakapoona tatizo limekwisha.
Mfano wa miguu ambayo imevilia damu

4. Tangawizi
Kiungo hiki kimekuwa na kazi nyingi ikiwemo hii ya kumaliza tatizo la damu kuvilia ambapo unaweza kuandaa juisi ya kiungo hiki kisha tumia mara mbili kwa siku na itasaidia kumaliza shida hiyo pia

5. Mafuta ya kitunguu swaumu
Najua wengi wanaweza kushangaa kuhusu mafuta ya kitunguu hiki, lakini yapo na huweza pia kumaliza tatizo hili la damu kuvilia kwa kupaka sehemu iliyoathirika yaani damu ilipovilia kisha sugua taratibu. Tumia mbinu hii kwa siku kadhaa hadi utakapoona nafuu.

Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment