Friday, 21 April 2017

Sababu 4 zitakazofanya uendelee kupungukiwa nguvu za kiume

Mara nyingi tumekuwa tukizungumza kuhusu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, lakini leo napenda kukwambia kuhusu haya mambo ambayo mwanaume yeyote mwenye tatizo hili akiziendeleza basi asitegemee kuondokana na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Ulevi uliopitiliza

Unywaji wa pombe sana huharibu mishipa ya fahamu yote ya binadamu, hivyo hata uwezo wa kushiriki tendo la ndoa hupungua pia

Kutofanya mazoezi
Mazoezi ni muhimu kwa afya ya tendo la ndoa kwani husaidia kufanya mzunguko wa damu mwilini kuwa vizuri jambo ambalo pia husaidi kuimarisha tendo hilo.

Kufanya ngono mara kwa mara na upigaji wa punyeto:
Mara nyingi suala la hamu ya kulala na mwanamke ni kama ulaji wa chakula, tunaamini mtu mwenye njaa kali ndio atakula sana. Hivyo mwanaume anayefanya ngono na kupiga punyeto hukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa.

Ugomvi wa mara kwa mara na mwenza wako:
Kama mahusiano yako na mwenza wako yana matatizo huweza kuchangia mwanaume kuendelea kuwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, kwani mifarakano huchangia kwa kiasi kikubwa kupoteza hamu ya tendo la ndoa na kuendelea kuishiwa nguvu za kiume.


Kwa ushauri zaidi tupigie kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment