Advertisement

Advertisement

.

.

Mixer

Mixer

Saturday, 1 April 2017

Sababu hizi 5 zinatosha kumfanya mwanamke akusaliti


Huwa inachukua muda mrefu kidogo hadi mwanamke kuamua kumsaliti mpenzi wake au mume wake.

Hata hivyo, unapoona mwanamke amefikia hatua hiyo basi tambua kuwa kuna sababu sasa hapa naomba nikwambie ni kwanini mwanamke hufikia hatua ya kufanya usaliti.

Zifuatazo ni sababu 5 ambazo huweza kuchangia mwanamke kuamua kufanya usaliti kwenye mahusiano:-

1. Kokosewa heshima

2. Kuhisi upweke na kupuuzwa

3. Kuondoka kwa upendo ndani ya nyumba

4. Migogoro katika ndoa au mahusiano

5. Kulipa visasi

Kwa mengine mengi kama haya yanayohusu masuala ya mapenzi na mahusiano usiache kusikiliza kipindi cha NJOZI NJEMA kila Jumatano saa nne usiku kupitia TBC FM hapo utakutana na Mtaalam Mandai pamoja na Salome Baptister na kuyajua mengi zaidi kuhusu mahusiano.

Kwa maelezo zaidi au ushauri usisite kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment