Tuesday, 18 April 2017

Tumia kitunguu kwa kukabiliana na kikohozi

Kitunguu maji ni moja ya kiungo ambacho hutumika kwenye mapishi mbalimbali hasa mboga, lakini kiungo hiki kinaaminika kuwa endapo kitatumika vizuri huweza kutatua tatizo la kikohozi.

Namna ya kufanya andaa kitunguu chako kimoja pamoja na maji kiasi kisha ondoa ngozi yote ya juu ya vitunguu na kila kimoja kata vipande vinne,kisha weka vitunguu vyako kwenye sufuria yenye maji, na anza kuvichemsha. 

Chemsha maji kwa mda wa nusu saa, na kisha viache vipoe.

Kunywa kikombe kimoja na nusu mara mbili kwa siku na utaona namna kitakavyokusaidia kama unasumbuliwa na kikohozi.

Zingatia
Unapokohoa zaidi ya wiki mbili mfululizo ni vyema ukafika kwenye kituo cha afya kwa uchunguzi zaidi.

Kwa maelezo zaidi au ushauri wasilina na Mtaalam Abdallaha Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment