Friday, 14 April 2017

Ukizingatia haya yatabadilisha maisha yako

Leo nataka kukushirikisha mambo muhimu mawili ambayo ukiyashika na kuyafuata ninaimani yataweza kuleta mabadiliko makubwa sana ya kimaisha kwako.

1. Chagua kilicho bora na ukifuate


Naamini katika maisha yako kuna wakati unakumbwa na ile hali ya kuwa na vitu vingi sana iwe kwa kuviona au kichwani, lakini hapa nachokimaanisha ni kuwa unakuwa umekumbwa na mambo mengi sana na unajikuta huwezi kufanya maamuzi, sasa njia iliyo bora na sahihi pale unapokumbwa na machagulio mengi ni kuchagua kitu kilicho bora.

Ushauri wangu kwako ni kwamba unapaswa kuchagua kitu bora. Epuka kuchagua  kitu kwa kuwa kuna mtu fulani kasema ni bora hapana bali chagua kitu kwa kuwa wewe kwako ndicho umeona ni bora kuliko wengine.Mfano kuna baadhi ya watu huamua kufanya biashara fulani kwa kuwa fulani anafanya bila kujua biashara huangalia vitu vingi yakiwemo mazingira n.k

Leo hii kuna watu wamekuwa wakipata shida sana katika kuchagua vitu kama kazi za kufanya, masomo nk.

2. Kuwa na msimamo
Hali ya kukosa msimamo na kuhairisha mambo ni moja ya dalili ya kutokuwa na msimamo juu ya mambo yako.

Kwa ushauri zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment