Monday, 15 May 2017

Aina 3 ya matunda muhimu kwa wenye kisukari

Avocado
Watu wenye shida ya kisukari hupata shida pale wanapohitaji kuchagu matunda au vyakula vya kula

Lakini leo naomba kukwambia kuhusu aina tatu ya matunda ambayo anaweza kutumia mtu mwenye kisukari bila kuwa na madhara kwa mtumiaji.

1. Parachichi

Tunda hili ni tunda ambalo linakiwango kidogo sana cha sukari, lakini pia tunda hili lina fiber ya kutosha pamoja na madini mbalimbali ikiwa ni pamoja na madini ya potassium na copper.

2. Papai
Papai husaidia kuimarisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na hivyo kuwa moja ya tunda muhimu kwa wale wenye tatizo la kisukari.

3. Nyanya
Pia hii ni miongoni mwa tunda na kiungo kizuri kwa wenye shida ya kisukari

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au Barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment