Saturday, 13 May 2017

Aina 3 za vinywaji muhimu kwa wanawake

Image: Shutterstock
Mamamjamzito huitaji vyakula na vinywaji vyenye virutubisho wa kutosha kwaajili ya kumjenga vyema mtoto anayekuwa tumboni

Leo naomba nikwambie hizi aina 3 za juisi ambazo ni vyema akapatiwa mamamjamzito wakati wa kipindi hicho cha ujauzito.


1.Juisi ya pera
Image: Shutterstock
Juisi hii itamsaidia mama kwa kiasi kikubwa kumkinga dhidi ya tatizo la kukosa choo ambalo mara nyingi huwatokea kinamama wakati wa ujauzito.

2. Juisi ya apple
Image: Shutterstock
Juisi hii itakuwa ikimfanya mamamjamzito kujihisi mwenye afya bora na furaha wakati wote wa miezi ya ujauzito.

3. Juisi ya ndizi na asali
Hii nayo ni mja ya kinywaji kizuri kwa mama mjamzito wakati huu akitaraji kuwa mama mtarajiwa kutokana na juisi hiyo kuwa na madini na virutubisho muhimu kwa kipindi hicho.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment