Thursday, 18 May 2017

Faida 3 za magome ya ukwaju kwa wanawake


UKWAJU kwa kawaida huwa na ladha fulani hivi ya uchachu, lakini pia ni moja ya kiburudisho kizuri ambacho kimesheheni virutubisho kadhaa.

Bila shaka wengi hutumia tunda hili lenye ladha ya ugwadu (uchachu) kwa kutengeneza juisi ambayo hutumika kama kinywaji kinachoburudisha.

Hata hivyo, ukwaju unaelezwa kuwa na faida nyingi kwa binadam tofauti na watu wengi wanavyofahamu, lakini leo tutaangazia faida za magome ya ukwaju.

Gome la ukwaju likianikwa kivulini kwa siku kadhaa na kisha kutwangwa na ukapatikana unga wake hiyo husaidia sana wanawake ambao hukubwa na kifafa wakati wa uzazi.

Pia gome hilo la ukwaju linauwezo wa kuwasaidia wanawake wenye shida ya kujifungua watoto wafu mara kwa mara, lakini pia huweza kuwasaidia wanawake wenye tatizo la kubeba mimba na kutoka kabla ya wakati wa kujifungua.

Ili kufahamu zaidi kuhusu matumizi ya gome hili wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment