Thursday, 4 May 2017

Hii ndio kazi nyingine ya kitunguu maji kwa wenye pumu

Pumu ni miongoni mwa magonjwa sugu ya hewa yanayosumbua idadi kubwa ya watu duniani na hasa watoto.

Hali hiyo ya tatizo la upumuaji hujitokeza kutokana na kubana kwa mirija ya hewa kunakotokana na kubadilika kwa utendaji kazi wa viungo hivyo kunakosababishwa na kuchochewa na kitu kilichoingia kutokea nje inawezekana ni hewa chafu, vumbi au chavua ambacho huchochea kuundwa kwa sumu katika mwili wa mhusika,

Hata hivyo, huwa kuna uwezekano wa kitu hicho hicho kutokuwa na madhara kwa mtu mwingine endapo kitaingia katika mirija yake ya hewa anapopumua. Hali hiyo ndiyo hujulikana kama mzio au (allergy).

Mara nyingi ugonjwa huu wa pumu huweza kutokana na njia ya kurithi na hasa kwa wale watu wenye matatizo ya mzio (allergy).

Mhusika mwenye tatizo la pumu huweza kupata ahueni kwa kutumia kitunguu maji na kinachofanyika ni mhusika kupata vipande kadhaa vya kitunguu na kutafuna kwani husaidia sana kuachia kwenye mishipa ya njia ya hewa.

Kwa ushauri zaidi wasiliana nasi kwa simu namba +255 716 300 200, +255 769 400 800, +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment