Wednesday, 10 May 2017

Ifahamu mboga yenye uwezo wa kusogeza karibu uzazi kwa wanaume na wanawake

Broccol ni aina ya mbogamboga ambayo ndani yake imesheheni kiwango kikubwa cha vitamin mbalimbali hasa vitamini C .

Inaelezwa kuwa vitamini hiyo ni miongoni mwa vitu muhimu kwenye suala ya uzazi kwani husaida mwanaume kuwa na manii yenye uwezo wa kutungisha mimba na kwa wanawake huweza kusaidia kutoharibika kwa mimba mara kwa mara.

Ili kujua namna nzuri ya kutumia mboga hii unaweza kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment