Thursday, 25 May 2017

Je, unazijua faida za matunda ya mfulusana mwilini? zote zipo hapa


Fulusana ni aina fulani ya matunda ambayo yakiiva vizuri huwa ni meusi na yenye ladha tamu ya sukari.

Ni nadra sana kuyapata matunda haya sokoni na mara nyingi huonekana kama matunda ya wototo zaidi, lakini maatunda haya nayo yanamanufaa kadhaa ndani ya miili yetu wanadamu.

Miongoni faida za matunda haya ni pamoja na kuimarisha kinga za mwili kutokana na kuwa na vitamin C yakutosha.

Picha nyingine za matunda haya nimekuwekea hapa chini


Lakini pia ndani yake kuna kirutubisho kiitwacho ant - oxidants ambacho huweza kupunguza matatizo ya maumivu ya misuli pamoja na viungo joint.

Pia matunda haya husaidia kusafisha afya ya damu ndani ya miili yetu na hivyo kuboresha utendaji kazi wa moyo mwilini.

Kwa ushauri zaidi tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.


1 comment: