Monday, 8 May 2017

Karafuu inavyoweza kukusaida kumaliza maumivu ya sikio


Sikio, pua na koo ni viungo vinavyohusika kwa karibu na hivyo inapotokea tatizo kwenye mojawapo ya kiungo huweza kuchangia madhara kwenye kiungo kingine.

Lakini leo naomba kuelezea kuhusu maumivu ya sikio ambayo huweza kuwa kikwazo kwa mhusika.

Maumivu ya sikio huweza kusababishwa na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na jipu au upele ndani ya njia ya sikio.

Pia tatizo hili huweza kusababishwa na kelele za nguvu au kukauka kwa nta ndani ya sikio na sababu nyinginezo.

Ifuatayo ni moja ya njia asili ya kumaliza tatizo la maumivu ya sikio.

KARAFUU
Hiki ni kiungo ambacho huweza kutuliza maumivu ya sikio endapo kitatumika vizuri.

Unachopaswa kufanya kupata unga kidogo wa mafuta ya karafuu nakuuchanganya na kijiko kimoja cha chai cha mafuta ya ufuta.

Kisha weka matone matatu ya mchanganyiko huo katika sikio mara mbili kwa siku kwa muda wa siku tano mfululizo.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment