Wednesday, 17 May 2017

Kazi 4 za juisi ya viazi mviringo mwilini mwako

Featured Image
Viazi mviringo ni moja ya vyakula ambavyo tumekuwa tukivitumia sana kwa mapishi mbalimbali ikiwa ni pamoja na uandaaji wa chips.

Lakini leo naomba nikueleze kuhusu faida za juisi itokanayo na viazi mviringo.

1. Husaidia kuzuia tatizo la kukatika kwa nywele

2. Husaidia kuifungua vitundu vya hewa kwenye ngozi (Pore cleansing)

3. Husaidia kuipa ngozi rangi yake ya uasilia

4. Huweza kuifanya ngozi kuonekana ipo vizuri hata kama umri umeshasogea (Ant- aging)

Kama ungependa kufahamu zaidi kuhusu uandaaji wa juisi hiyo ya viazi unaweza kutupigia kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com na tutakupatia maelekezo yote kuhusu uandaaji wake.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment