Thursday, 18 May 2017

Kazi nyingine ya parachichi ndani ya mwili wa mwanaumeWanaume wengi wamekuwa wakisumbuliwa na tatizo la kutokwa na vipele mara tu baada ya kunyoa ndevu zao.

Mbaya zaidi asilimia kubwa ya wanaume wamekuwa wakishindwa kujua nini cha kufanya ili kuondoa tatizo hilo ambalo pia huharibu muonekanano wa mhusika.

Hapa napenda kukueleza kuwa tunda la parachichi nalo huweza kuondoa tatizo hilo au kupunguza madhara kwa mtu mwenye shida hiyo.

Jambo la kufanya ni kupata tunda hili fresh kisha limenye na baadaye kulisaga halafu utalitumia mara tu baada ya kunyoa ndevu zako kwa kupaka rojorojo hilo la parachichi sehemu zote za kidevu yaani hii unaweza kuiita 'after shave ya asili'.

Tunda hili la parachichi linauwezo wa kuondoa tatizo hilikutokana na kuwa mafuta mazuri kwa ngozi ambayo pia husaidia kufanya ngozi kuteleza na kuwa laini na yenye afya.


Tunaweza kukushauri kuhusu matumizi ya lishe bora pia na vitu vya asili tupigie sasa kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment