Saturday, 27 May 2017

Kazi nyingine za kitunguu maji mbali na kuungia mboga

Kitunguu maji ni moja ya kiungo ambacho hutumiwa sana na binadam karibu kila siku, hasa katika shughuli za jikoni, lakini kiungo hiki pia kina faida zake  kiafya.

Mtaalam Mandai anaeleza kwamba, unapotwanga gramu thelathini ikiwa na pilipili manga saba na kisha kumpatia mgonjwa mwenye tatizo la kutapika na kujisikia vibaya pamoja na kuharisha humsaidia .

Aidha, Mtaalam Mandai anaendelea kueleza kwamba kwa wale wenye shida ya haja ndogo (mkojo) kuuma anaweza kuponda kiasi cha gramu sita ya vitunguu na baadaye kuchemsha katika nusu lita ya maji na kuiacha ichemke hadi pale itakapo pungua nusu ya ule ujazo wote kisha apatiwe mgonjwa anywe.

Pia Mtaalam huyo anabainisha kwamba matone ya maji ya kitunguu huweza kusaidia matatizo ya sikio na kusaidia kuondoa milio yote ya sikioni.

Matatizo mengine yanayoweza kutatuliwa na kiungo hiki ni pamoja na kikohozi, vidonda vya tumbo, ngozi, figo pamoja na tumbo.

Kwa ufafanuzi zaidi unaweza kumpigia simu Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment