Tuesday, 16 May 2017

Kiu ni salamu kuwa mwili umepungukiwa maji

Jambo muhimu kabisa la kiafya ni maji mwilini na dalili ya kwanza ya kupungukiwa na maji mwilini ni kiu. 

Dalili nyingine za upungufu wa maji ni pamoja na hizi hapa chini zifuatazo:-

1. Kupata haja ndogo kwa shida au kutopata kabisa.

2. Kukosa uchangamfu

3. Kukauka kwa midomo.

4. Ukavu wa ngozi

5. Machozi kutoka kwa shida

6.Wakati mwingine kuhisi kizunguzungu

Kwa watoto ni vyema wakahakikishiwa wanakunywa maji kabla ya kwenda kucheza

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au Barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment