Monday, 8 May 2017

Mambo 10 yanayoweza kukuweka kwenye hatari ya shinikizo la damuMambo yanayoongeza uwezekano wa kupata shinikizo kubwa la damu ni haya yafuatayo:

1. Kuwa na historia ya shinikizo la kubwa la damu katika familia yako
2. Kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40
3. Kuwa na jinsia ya kiume, kwasababu huwapata wanaume zaidi kuliko wanawake
4. Kuwa na uzito uliozidi kiasi
5. Kuwa na msongo wa mawazo (stress)
6. Kuwepo na matatizo mengine ya kiafya mwilini, kama magonjwa ya figo, matatizo ya mishipa ya damu, magonjwa ya moyo, kisukari au saratani
7. Matumizi ya chumvi kwa wingi au vyakula vyenye chumvi nyingi
8. Matumzi ya baadhi ya dawa
9. Utumiaji wa pombe na uvutaji sigara
10. Ujauzito

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment