Monday, 22 May 2017

Mambo 6 ambayo ukiyafanya kamwe hutapata ugonjwa wa kuhara

Kuharisha ni ugonjwa ambao husababishwa na vimelea (bacteria) ambao huenezwa na hali ya uchafu (inzi). kwa hiyo kama  kama utafanya yafutayo basi huwezi pata tatizo hilo.

1. Kuzingatia usafi wa choo

2. Kunawa mikono kila baada ya kutoka chooni

3. Kuosha vyombo vizuri na kuvihifadhi sehemu safi

4. Kuosha matunda kabla ya kula

5. Kunywa maji safi na salama (yaliyochemshwa)

6. Kunawa mikono kila unapohitaji kula chochote

Unaweza kuwasiliana nasi kwa ushauri zaidi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandatz@gmail.com


Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment