Friday, 5 May 2017

Mambo 6 muhimu unayotakiwa kuyajua kutoka kwenye asali

honey benefits
Asali ni moja ya zao la kimiminika linalotokana na nyuki na zao hili limeelezwa kuwa na faida kadhaa kwa afya zetu wanadamu.

Hapa ninazo faida 9 za asali unapotumia mara kwa mara

1. Huimarisha kinga za mwili

2. Husaidia kupunguza kikohozi

3. Hutumika pia kama ant- bacteria au ant- fungal

4. Husaidia kuponya majeraha (vidonda)

5. Husaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilini

6. Husaidia kupunguza madhara ya vidonda vya tumbo.

Kwa ushauri zaidi wasiliana nasi kwa simu namba +255 716 300 200, +255 769 400 800, +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment