Monday, 8 May 2017

Mandai Products Company Ltd inatoa pole kwa vifo vya wanafunzi, Arusha

Kampuni ya Mandai Product Company Limited inaungana na Watanzania wote kutoa pole kwa vifo vya wanafunzi wa Lucky Vicente Arusha.

Mungu awatie nguvu wazazi wote na walezi waliofikwa na msiba huu Mkubwa. Tupo pamoja katika majonzi na maombi. Inna lilah wainna ilah rajiun..

No comments:

Post a Comment