Monday, 15 May 2017

Njia 3 za haraka za kumaliza tatizo la damu kwenye fizi

Featured Image
Inawezekana ukawa ni miongoni kati ya watu ambao huwa unasumbuliwa na tatizo la fizi kutoka damu mara kwa mara na hujajua nini cha kufanya ili kumaliza tatizo hilo.

Huenda kuna wakati umejikuta ukimega tunda na kujikuta limebaki na damu kutoka kwenye fizi kama ni hivyo basi tambua unatatizo la fizi zako kuvuja damu

Kama ni kweli unasumbuliwa na shida hiyo, au ndugu, rafiki yako basi mnaweza kutumia njia hii ifuatayo kumaliza tatizo hilo.

1. Mafuta ya nazi
Unachotakiwa kufanya ni kupata mafuta ya nazi kisha changanya na baking soda kiasi halafu tumia kwa kupigia mswaki.

2. Asali
Ndani ya asali kuna ant- bacteria hivyo huweza kumaliza shida ya kutokwa na damu kwenye fizi

3. Limao
Juisi ya limao husaidia kumaliza tatizo hili endapo utasukutua kwa kutumia maji hayo ya limao

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba +255 716 300 200/ +255 769 400 800/ +255 784 300 300 au Barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment