Thursday, 18 May 2017

Orodha ya mambo 10 yatakayokuepusha na magonjwa

Naamini kila mtu katika maisha yake hupenda kuwa na afya bora kuanzia yeye mwenyewe familia yake ndugu pengine na hata marafiki pia.

Lakini zipo kanuni kadhaa katika maisha ambazo zikifuatwa huweza kumsaidia mtu kuwa na afya bora.

Leo naomba kukwambia mambo orodha ya hayo mambo ambayo ukiyazingatia unaweza kuepuka maradhi na kujikuta ukiishi kwa afya njema.

1. Kuzingatia kila kitu kinachoingia kinywani kwako

2. Kuzingatia kunawa mikono kila mara hususani kabla ya kula na kila unapotoka chooni

3. Kupata muda wa kupumzika

4. Kuepuka msongo wa mawazo

5. Kujenga utaratibu wa kufanya mazoezi mara kwa mara

6. Kuepuka matumizi ya vileo

7.  Kulala kiasi cha kutosha (kupata usingizi)

8. Ishi kwa furaha

9. Epuka matumizi holela ya madawa 

10. Epuka kujihusisha na ngono zembe

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment