
Wengi wetu tunaweza kujiuliza ni kwanini inakuwa hivi lakini miongoni mwa sababu zinazochangia hali hiyo ni pamoja na hizi zifuatazo:-
Zifuatazo ni sababu 6 za wanaume wengi walioko kwenye ndoa kufa mapema na kuwaacha wake zao.
1. Wanaume wengi ni wagumu wa kusamehe.
2. Wanaume wengi hujirundikia msongo wa mawazo.
3. Wanaume wengi hutunza vitu mioyoni mwao (siyo watu wa kufunguka)
4. Wanaume wengi hushuriki zaidi tabia hatarishi
Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku
No comments:
Post a Comment