Thursday, 18 May 2017

Sababu 6 zinazochangia wanawake wengi kushindwa kuona siku zao (hedhi)Tatizo la kukosa hedhi ni jambo ambalo linaweza kumkumba mwanamke yoyote katika maisha yake ilimradi awe tayari alivunja ungo.

Pia tatizo hili limekuwa likiwaletea usumbufu mwingi wa kisaikolojia wanawake wengi waliowahi kukumbwa na tatizo hilo.

Kitaalam tatizo la kukosa hedhi huitwa 'amenorrhea' na visababishi vya tatizo hili ni pamoja na matatizo katika mfumo wa homoni: Matatizo katika mfumo wa homoni yanaweza kuwa chanzo cha tatizo hili.

Zipo hapa chini sababu nyingine ambazo nazo huweza kuchangia mwanamke kutoona mzunguko wake, lakini hapa nitaziorodhesha  tu na kama utahitaji ufafanuzi zaidi basi utapiga simu hizi zifuatazo: 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au tutumie ujumbe kupitia barua pepe ya dkmandaitz@gmail.com;-

Orodha ya mambo 6 yanayochangia mwanamke kutoona siku zake

1. Kufanya mazoezi kupita kiasi

2. Kuwa na uzito mkubwa au uzito mdogo

3. Lishe duni

4. Msongo mkubwa wa mawazo

5. Matumizi holela ya madawa

6. Matumizi fulani fulani ya njia za uzazi wa mpango

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment