Thursday, 4 May 2017

Sababu 7 zinazoweza kukusababishia ugonjwa wa kisukari

Ugonjwa wa kisukari ni moja ya magonjwa yasiyoambukiza, ambayo husababishwa baada ya kongosho kushindwa kutengeneza 'insulin' ya kutosha ndani ya mwili.

Insulin ni homoni ambayo kazi yake kubwa ndani ya mwili ni kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu.

Leo hii tutakufahamisha baadhi ya sababu zinazoweza kukusababisha ukapata ugonjwa wa kisukari.

Visababishi hivyo ni pamoja hivi vifuatavyo
1. Matumizi ya sukari nyingi, 

2. Kurithi kutoka kwa wazazi 

3. Uljai holela wa vyakula

4. Kutokupenda kufanya mazoezi

5. Unywaji wa pombe kupita kiasi.

6. Sastarehe na mtindo wa maisha ya kubweteka 

7. Ulaji wa vyakula vilivyotengenezwa  (viwandani) kwa kuongezwa sukari.

Kwa ushauri zaidi wasiliana nasi kwa simu namba +255 716 300 200, +255 769 400 800, +255 784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment