Monday, 1 May 2017

Sababu 8 ambazo husababisha upungufu wa nguvu za kiume


Leo ni Jumatatu ya Mei Mosi ambayo pia ni siku ya wafanyakazi duniani, hivyo naamini wengi leo mtakuwa upo kwenye mapumziko.

Sasa naomba kueleza baadhi ya sababu ambazo huchagia kuleteleza upungufu wa nguvu za kiume:-

1. Uchovu wa mwili

2. Msongo wa mawazo

3. Ulevi

4. Kupooza kwa mwili

5. Ugonjwa wa kisukari

6. Kujichua kwa muda mrefu

7. Wasiwasi wa kutekeleza tendo la ndoa

8. Mazingira yasiyoridhisha wakati wa tendo la ndoa

Kama unasumbuliwa na tatizo hili unaweza kumpigia simu moja kwa moja Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment