Friday, 19 May 2017

Siku 10 za uwezo wa ngano kwa wenye tatizo la ngozi kuwasha

Tatizo la kuwashwa sehemu yoyote ya mwili inaweza kuwa ni matokeo ya tatizo fulani lililoko mwilini, kama vile mzio (allergy) minyoo.

Mwili unapowasha kunaweza kuwa ni dalili za ugonjwa unaohitaji kuchunguzwa na kutibiwa badala ya kutafuta kutibu dalili za ugonjwa.

Hivyo leo kuna hii moja ya njia ambayo huenda ikakusaidai wewe msomaji wetu kuondokana na tatizo hilo .

Hata hivyo kumekuwa na tiba asilia mbalimbali za tatizo hilo mbazo ni pamoja na soya, ndimu, komamanga , unga wa ngano pamoja na majani ya ngano, lakini katika tiba zote hizo leo hii tutaelezea hii tiba ya kutumia unga wa ngano ambayo pengine inaweza kuwa ni rahisi kwa wengi.

Unachopaswa kufanya katika kutumia unga wa ngano kama tiba ni kupaka unga wa ngano sehemu zote za mwili zinazowasha na hakikisha unatumia tiba hii kwa muda wa siku 10.

Unaweza kuwasiliana nasi pia kama unahitaji kujua masuala mbalimbali kuhusu lishe bora kwa maelezo zaidi tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment