Thursday, 11 May 2017

Usiache kupita bila kuzijua faida hizi nyingine za embe

Embe ni miongoni mwa mtunda yenye ladha nzuri na hupendwa na watu wengi hasa linapoliwa baada ya kuiva vizuri

Embe linasifa kadhaa ndani ya mwili wa binadamu na miongoni mwa faida za tunda hilo ni pamoja na kuwa na vitamin A na E ambayo husaidia kuboresha afya ya macho.

Mbali na hayo, tunda hilo pia husaidia kupunguza uwezekano wa upofu kwa wazee kwa kuimarisha macho.

Hayo ndio machache kuhusu tunda hili la embe kwa mengine mengi zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmai.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment