Tuesday, 16 May 2017

Vitu 7 vya msingi vya kuvijua kuhusu juisi ya tikitimaji

Tayari tumezungumza sana kuhusu faida za tikitimaji kama tunda, lakini naamini bado hatujawahi kuzungumza kuhusu faida za juisi ya tunda hilo inapoandaliwa vizuri.

Hivyo basi leo napenda uzifahamu hizi faida kadhaa za kunywa juisi ya tikitimaji kiafya:

1.Husaidia kutoa kinga dhidi ya magonjwa ya saratani.

2. Huboresha afya ya ngozi.

3. Huboresha mzunguko wa damu ndani ya mwili.

4. Husaidia kupunguza uzito mkubwa 'unene'

5. Inauwezo wa kupunguza tatizo la maumivu ya mifupa na misuli 'joint'

6. Ni juisi nzuri afya ya figo.

7. Ni juisi yenye vitamin nyingi ikiwemo vitamin C pamoja na madini

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment