Thursday, 25 May 2017

Yafahamu leo haya mambo 6 kuhusu mapera

guava-benefits-1
Mapera ni miongoni mwa matunda ya msimu lakini yenye ladha nzuri na yanapotumiwa vizuri huweza kuwa na manufaa kadhaa ndnai ya miili yetu.

Leo naomba kukueleza hizi faida nyingine kadhaa kuhusu mapera.

1. Husaiida kuimarisha kinga za miili yetu kutokana na kuwa na vitamin C ya kutosha ndani yake

2. Pia matumizi ya tunda hili humuweka mhusika kwenye uwezekano mdogo wa kukumbwa na matatizo ya saratani za aina mbalimbali

3. Tunda hili pia ni tunda rafiki kwa wale wenye shida ya kisukari

4. Husaidia kulinada afya ya moyo pia

5. Aidha, tunda hili nalo ni rafiki kwa wenye shida ya kukosa choo

6. Husiadia kuimarisha afya ya macho kutokana na kuwa na vitamin A ya kutosha ambayo huboresha uoni wa mhusika.


Kwa ushauri zaidi tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment