Thursday, 11 May 2017

Yafahamu matunda matano yenye uwezo wa kupunguza uzito


Kuna baadhi ya matunda yanapotumika vizuri huweza kuwa mbinu ya kumbukuza tatizo la uzito mkubwa au unene.

Najua wengi wanasumbuliwa na tatizo la kuwa na uzito mkubwa na kushindwa kujua nini cha kufanya, lakini leo naomba nikwambie kuhusu haya matunda yafuatayo ambayo huweza kupunguza uzito.

Ifuatayo ni orodha ya matunda ambayo huweza kusaidia kupunguza uzito.

1. Parachichi
Tunda hili lina utajiri wa mafuta ya omega 9 ambayo husaidia kupunguza uzito wa mwili.

2. Tikitimaji
Tunda hili linautajiri wa vitamin A, B, C ambayo huweza kupambana na magonjwa ya moyo pamoja na saratani, huku ikipunguza uzito.

3. Nanasi
Tunda hili huweza kupunguza uzito kutokana na kuwa na antioxidants

4. Chungwa
Tunda hili pia huingia kwenye orodha ya matunda yenye uwezo wa kupunguza uzito wa mwili

5. Ndizi
Tunda hili linauwezo huo kwasababu humshibisha mhusika na hivyo kumfanya kutokula mara kwa mara na hivyo kupunguza uzito wa mwili.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment