Friday, 26 May 2017

Zifahamu faida 6 za juisi ya tangawizi, halafu nenda kajaribu uone ajabu yake

7 Miraculous Benefits of Ginger Juice: From Better Digestion to Beautiful Hair
Tangawizi ni kati ya viungo mahili vinavyochochea ladha nzuri katika vyakula vya aina mbalimbali na hivyo kuwavutia walaji kula chakula husika.

Tangawizi pia inapowekwa kwenye vyakula vigumu kama nyama huifanya ilainike na hivyo kuweza kuiva kwa haraka zaidi.

Leo nataka kukueleza msomaji wangu kuhusu hizi faida nyingine za kutumia juisi ya tangawizi kama ifuatavyo:-

1. Hutumika kama kituliza maumivu.

2. Husaidia kuboresha mmeng'enyo wa chakula tumboni

3. Huthibiti shinikizo la damu

4. Huboresha afya ya kinywa

5. Hukinga matatizo ya ngozi hasa chunusi

6. Husaidia kukuza nywele (kulinda afya ya nywele)

Zingatia
Kama ungependa kutuuliza maswali zaidi kuhusu mada hii na hata masuala mengine mengi kuhusu mimea tiba, matunda na lishe bora kwa ujumla wake basi tupigie sasa kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment