Friday, 5 May 2017

Zifahamu hizi dondoo muhimu kuhusu pilipili hohoPilipili hoho inatajwa kuwa ni moja ya mboga yenye vitamin nyingi, ingawaje wengi wetu huwa utufahamu.

Aidha, pili pili hoho inaelezwa kuwa na ladha ya kipekee, yenye uwezo mkubwa ya kuboresha mifumo mbalimbali mwilini.

Pilipili hoho inauwezo mkubwa wa kuongeza kinga ya mwili pamoja na kupambana na maradhi ya saratani, moyo huku pia ikisaidia uwezo wa macho kuona vizuri.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com
Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment