Friday, 12 May 2017

Zifahamu hizi faida 8 za juisi ya pears


Pears ni moja ya tunda lenye ladha nzuri, lakini pia tunda hili likitumika vizuri huweza kuwa na faida kadhaa kwenye miili yetu.

Hapa leo ninazo faida kadhaa za juisi ya pears ambazo huweza kumnufaisha mtumiaji.

1. Husaidia kupambana na maradhi ya moyo.

2. Huzuia matatizo ya saratani

3. Husaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilini

4. Huimarisha kinga za mwili

5. Huboresha mmeng'enyo wa chakula

6. Ni juisi nzuri kwa kinamama wajawazito

7. Husaidia kukukinga dhidi ya homa

8. Huboresha afya ya ngozi

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment