Friday, 19 May 2017

Zifahamu hizi faida za mtopetope kwa wanawake

Mtopetope ni mti ambao hustawi zaidi katika maeneo ya mabondeni au hata milimani, lakini mti huu umekuwa ni muhimu katika kuwapatia matunda watu, lakini pia mti huu unasifika kwa kuwa na uwezo wa kupunguza madhara ya matatizo fulanifulani ya kiafya.

Yafuatayo ni mambo yanayoweza kusaidika kutokana na matumizi ya mtopetope

Wanawake wenye tatizo la kutoa maji yenye muwasho na mengine kama maziwa sehemu za siri wote wenye matatizo hayo huweza kusaidika kwa mti huu.

Mara nyingi wanawake kutokana na maumbile yao wamekuwa wakikabiliwa na changamoto ya magonjwa hayo ambapo miongoni mwa athari kubwa ni kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

Mbali na hayo, mti huo pia husaidia kupunguza madhara ya vidonda vya tumbo na magonjwa ya moyo.

Unaweza kuwasiliana nasi pia kama unahitaji kujua masuala mbalimbali kuhusu lishe bora kwa maelezo zaidi tupigie kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment