Thursday, 29 June 2017

Aina 3 za michanganyiko yenye uwezo wa kupunguza uzito wa mwili

Watu wengi wamekuwa wakipata shida kuhusu suala la uzito kupita kiasi na kushindwa kutambua namna gani sahihi ya kukabiliana na tatizo hili.

Hapa ninazo njia tatu zitakazokusaidia kupunguza uzito wa mwili wako:-

1. Mchanganyiko wa maji ya uvuguvugu na asali.

2.Mchanganyiko wa asali na limao

3. Mchanganyiko wa mdalasini pamoja na asali

Unaweza kuamua ni mchanganyiko upi kati ya hii inaweza kuwa rahisi kwako kuipata chagua kati ya mchanganyiko mmoja kisha tupigie simu kwa namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 tutakuelekeza namba ya kuandaa.


Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment