Saturday, 3 June 2017

Aina 4 ya vyakula vyenye afya na kuimarisha mifupa

Kuwa na mifupa imara ni moja ya mambo ambayo muhimu katika maisha hususani kwa wanamichezo pia.

Leo naomba kukueleza kuhusu vyakula vyenye uwezo wa kuimarisha afya ya mifupa:-

1. Maziwa
Maziwa ni muhimu kwa afya ya mifupa kutokana na kuwa na madini ya calcium ambayo husaidi pia kuimarisha afya ya mifupa ya mwili.

2. Spinach
Mboga hii ya majani nayo husaidia kuongeza uimara wa mifupa ya mwili kutokana na kuchangia kiasi cha asilimia 25% ya madini ya calcium ndani ya mwili.

3.Mayai
Mayai yamesheheni vitamin D ambayo husaidia kuongeza uzito wa mifupa na kuipa uimara zaidi.

4. Ndizi
Tunda hili limesheheni madini ya calcium ambayo ni muhimu kwa afya ya mifupa

Kwa maelezo zaidi usisite kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0769 400 800/ 0784 300 300 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku.

No comments:

Post a Comment