Wednesday, 14 June 2017

Aina 4 ya watu ambao si rahisi kusumbuliwa na magonjwa


Kuwa na afya ni utajiri pia kwa sababu mtu mwenye afya bora huwa ni rahisi kwake hata kujiinua kiuchumi kwa kufanya shughuli zake ipasavyo.

Leo ninayo orodha ya tabia za watu ambao kwao ni ngumu kuzongwa na magonjwa ya mara kwa mara.

1. Wale wanaopata muda wa kutosha wa kupumzika na kulala pia. lakini haimaanishi ulale siku nzima

2. Wale walaji wa mboga za majani na matunda kwa wingi.

3. Wenye mitazamo chanya muda wote katika maisha yao na mambo yao kwa ujumla.

4. Wale wenye uwezo wa kupambana na kudhibiti msongo wa mawazo.

5. Wale wenye tabia ya kunywa maji ya kutosha kila siku na kuzingatia mlo kamili.

6. Wale wenye tabia ya kufanya mazoezi mara kwa mara

Kwa msaada zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0716 300 200/ 0784 300 300/ 0769 400 800 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

Pia unaweza kupakua App yetu kwa kuingia kwenye playstore kisha tafuta mandai products na utaidownload kisha utakuwa unapata kila taarifa zetu kupitia simu yako kila siku

No comments:

Post a Comment